Mtu mmoja apigwa risasi nje ya bunge la Kenya akimnyanganya polisi bunduki yake

  • | K24 Video
    109 views

    Mtu amepigwa risasi katika hali isiyoeleweka nje ya majenga ya bunge hapa jijini Nairobi. Inadaiwa majeruhi aliyepelekwa hospoitali kwa matibabu, alimvamia afisa wa polisi akitaka kumpokonya bunduki. Katika purukushani hiyo polisi huyo aliumizwa na kupelekea huyo mvamizi kupigwa risasi…