Mtu mmoja auawa kwa kupigwa risasi mtaani Huruma

  • | Citizen TV
    11,491 views

    Mtu mmoja anaripotiwa kuuawa baada ya kupigwa risasi kufuatia makabiliano kati ya polisi na wakaazi wa mitaa ya Kariobangi na Huruma.