Skip to main content
Skip to main content

Mtu mmoja auawa na bidhaa za thamani ya shilingi milioni 2.5 kuibwa eneo la Kahawa West, Nairobi

  • | NTV Video
    1,085 views
    Duration: 1:24
    Mtu mmoja ameuliwa na bidhaa za thamani ya shilingi milioni 2.5 kuibwa katika duka la pombe eneo la Kahawa West, Nairobi. Wahalifu walivamia duka hilo saa kumi alfajiri na kuharibu kamera za CCTV kabla ya kutekeleza wizi huo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya