Mtu mmoja auawa na majangili eneo la Bonde la Kerio licha ya operesheni inayoendelea ya kiusalama

  • | Citizen TV
    3,118 views

    Mtu mmoja ameuwawa na majangili katika eneo la Bonde la Kerio kaunti ya Elgeyo Marakwet licha ya operesheni inayoendelea ya kiusalama. na huko Samburu, viongozi wanaitaka serikali kuwapa machifu bunduki ili kujihami dhidi ya majangili wanaoendelea kutatiza usalama maeneo hayo. Viongozi hao wameyasema hayo katika mazishi ya Chifu wa kata ya Poro aliyeuwawa juma lililopita miongoni mwa wakazi wengine wawili katika uvamizi wa wizi wa Mifugo. Chifu huyo amezikwa nyumbani kwake kijiji Cha Ngano Samburu magharibi.