Mtu mmoja auawa Trans Mara Magharibi kwenye makabiliano ya kiukoo yaliosababishwa na mzozo wa ardhi

  • | KBC Video
    76 views

    Mtu mmoja ameuawa kufuatia makabiliano ya kiukoo yaliosababishwa na mzozo wa ardhi katika eneo la Transmara magharibi, kaunti ya Narok. Kamanda wa polisi katika kaunti ndogo ya Enosaen Jamleck Ngaruiya, ametaka kufanywa mkutano wa amani ili kurejesha amani katika eneo hilo .

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive