Rais wa Marekani Joe Biden atahutubia Bunge la pamoja la Marekani kuhusu Hali ya Kitaifa Jumatano 0200UTC. Rais Biden anatarajiwa kuzungumzia uvamizi wa Russia nchini Ukraine, Uchumi wa Marekani, udhibiti wa bunduki na mageuzi katika jeshi la polisi, kati ya mambo mengine.
Sarah Huckabee Sanders, gavana wa jimbo la Arkansas la Marekani, atatoa hotuba ya Warepublikan juu ya hali ya kitaifa, kama ilivyo desturi kwa mwakilishi kutoka chama cha upinzani kukanusha maelezo ya rais.
#rais #joebiden #marekani #hotuba #haliyataifa #voa #voaswahili
13 May 2025
- The Trump administration welcomed on Monday 59 white South Africans it granted refugee status in the U.S., having deemed them victims of racial discrimination, while drawing criticism from Democrats and stirring confusion in South Africa.
13 May 2025
- Peering through a microscope, food scientist Raquel Gomez studies microorganisms that add nutrients and preserve tortillas for several weeks without refrigerators -- a luxury in impoverished Mexican communities.
13 May 2025
- The party's Secretary General Hassan Omar issued the stinging statement just hours after Gachagua formally severed ties with UDA, nearly six months after his dramatic impeachment as deputy president on October 18, 2024.