- 3,577 viewsDuration: 4:10Wizara ya Elimu imesisitiza kwamba imejitolea kuhakikisha mpito wa asilimia mia moja wa wanafunzi hadi gredi ya Kumi licha ya wasiwasi kuhusu idadi ndogo ya wanafunzi wanaoripoti katika shule mbalimbali za upili katika baadhi ya maeneo nchini. Akizungumza katika Shule ya Upili ya Wavulana ya Alliance huko Kikuyu, Kaunti ya Kiambu, Katibu anayehusika na maswala ya Elimu ya Msingi Julius Bitok alisema kwamba muda wa kuripoti shuleni utaongezwa inapobidi ili kuhakikisha hakuna mwanafunzi anayefungiwa nje, akisisitiza kwamba mchakato wa kuwateua wanafunzi ulikuwa wazi na unaojali maslahi ya wanafunzi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive