Skip to main content
Skip to main content

Mudavadi amkosoa Hassan Omar kwa matamshi ya kuchochea

  • | Citizen TV
    11,531 views
    Duration: 3:15
    Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi ameendelea kumkosoa Katibu Mkuu wa UDA, Hassan Omar, kufuatia matamshi yake anayosema ni ya kuchochea na kuibua taharuki. Omar, ambaye alisema hata waliofariki watasajiliwa kuwa wapiga kura, pia amekosolewa na Tume ya Uchaguzi, IEBC, ambayo imesema matamshi hayo yanaweza kuzua hofu huku Kenya ikijiandaa kwa uchaguzi mkuu mwaka ujao.