Mume amjeruhi vibaya mkewe waliyetengana Makueni

  • | KBC Video
    47 views

    Maafisa wa polisi katika eneo la Kitaingo, Kilome, kaunti ya Makueni wanamsaka mwanamume anayedaiwa kumshambulia na kumjeruhi vibaya mkewe waliyetengana. Naomi Ndanu anaendelea kupokea matibabu katika hospitali ya kaunti ndogo ya Sultan Hamud kufuatia madai kwamba mumewe alimkatakata kichwani kwa panga na hata kumuuma masikio wakati wa makabiliano hayo makali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive