Skip to main content
Skip to main content

Murkomen aagiza uchunguzi wa watu waliojihami Ol Kalou

  • | Citizen TV
    6,211 views
    Duration: 2:32
    Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen sasa anasema kuwa Idara ya Upelelezi imeanza rasmi uchunguzi kuwahusu watu walioonekana wamejihami na kutawala Ol Kalou wakiwa wamejifunika nyuso wakati wa uchaguzi mdogo wa Ol Kalou. Murkomen amesema watakaojulikana na kupatikana na hatia watashtakiwa. Waziri huyo pia ameonya magenge yaliyohusishwa na uvamizi wa mkutano wa serikali huko Trans Nzoia hapo jana. Seth Olale anatufungulia jamvi la Nipashe jioni ya leo.