Skip to main content
Skip to main content

Murkomen aonya kuwa baadhi ya wahalifu wanatumia sekta ya boda boda kujificha na kutekeleza uhalifu

  • | NTV Video
    897 views
    Duration: 3:03
    Sekta ya boda boda imeingia tena katika mjadala mkali wa usalama baada ya Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen kuonya kuwa baadhi ya wahalifu wanatumia biashara hiyo kujificha na kutekeleza uhalifu mijini na hata kushiriki vurugu za kisiasa. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya