Murkomen asema vita dhidi ya ujahili Kerio utaendelea kupigwa msasa

  • | NTV Video
    540 views

    Waziri Kipchumba Murkomen amesema vita dhidi ya ujahili eneo la bonde la Kerio utaendelea kupigwa msasa huku watu watatu akiwemo Padre Aloys Bett kuuwawa na majahili eneo la hili wiki hii.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya