Musikari Kombo ataka viongozi wa Magharibi kunyakua nafasi ya Raila Odinga

  • | West TV
    1,033 views
    Huku viongozi na wakenya wa tabaka mbalimbali wakiendelea kuunga mkono hatua ya kinara wa odm raila odinga kujitosa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania wadhifa wa mwenyekiti wa tume ya muungano wa afrika au, mwanasiasa mkongwe musikari kombo ni wa hivi punde kuunga mkono azma ya raila