Watangazaji wa Musyi FM Wajumuika na Mashabiki Tawa Mbooni Kusherehekea Joy millers

  • | Citizen TV
    144 views

    Watangazaji wa Kituo cha redio cha Musyi FM walijumuika na mashabiki wao katika soko la Tawa huko Mbooni kaunti ya Makueni ambako waliandaa kipindi cha asubuhi kabla ya kujumuika kwenye shamrashamra za kusherehekea bidhaa za kampuni ya unga ya Joy millers.