Muungano wa Azimio wapanga kuanza maandamano jumatano

  • | K24 Video
    2,089 views

    Hakikisho limetolewa kuwa maandamano ya muungano wa Azimio yataandaliwa jumatano kama ilivyoratibiwa ikiwa gharama ya juu ya maisha haitapunguzwa na sava za tume ya uchaguzi IEBC kufunguliwa. Kwa sasa imesalia siku mbili tu kabla ya makataa ya siku kumi na nne kukamilika. Siasa za kupinga serikali ya William Ruto zilisheheni kaunti za Machakos hii leo.