Skip to main content
Skip to main content

Muungano wa Azimio wateua Kalonzo Musyoka mrithi wa Raila, Junet Mohamed katibu mkuu

  • | Citizen TV
    28,291 views
    Duration: 2:12
    Muungano wa azimio umefanya mkutano na kuafikiana kuwa kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka awe mrithi wa hayati Raila Odinga kama kinara wa muungano huo. Katika mkutano uliofanyika siku ya jumatatu na kuhudhuriwa na viongozi kadhaa akiwemo rais mstaafu Uhuru Kenyatta, kamati kuu ya azimio pia imemtema kiongozi wa wachache katika bunge la kitaifa Junet Mohamed kama katibu mkuu wa muungano huo