Muungano wa madaktari katika Bonde la Ufa wajiunga na madaktari wengine kulilia haki za madaktarU

  • | K24 Video
    40 views

    Muungano wa madaktari katika bonde la ufa umejiunga na madaktari wengine nchini kulilia haki za madaktari. Mamia ya madaktari walijitokeza jijini Nakuru na kufanya maandamano ya amani. Katibu wa muungano wa madaktari wa eneo la kusini mwa bonde la ufa Stephen Omondi amesema mgomo hautasitishwa bali utaendelea hadi matakwa yao yashughulikiwe. katika kaunti ya uasin gishu wauguzi wakufunzi wamekosoa muungano wa wauguzi nchini KNUN kwa kutotoa msimamo dhabiti kuhusiana na malipo yao wakati mgomo huu unaendelea.