Muungano wa makanisa wairai jamii kuwakumbuka wanyonge

  • | Citizen TV
    160 views

    Huku ulimwengu ukisheherekea siku kuu ya krismasi wakenya wametakiwa kuwakumbuka wasioweza kumudu hali ngumu ya maisha pamoja na kuepukana na maovu Katika jamii.