Muungano wa walimu KNUT tawi la Mandera waataka serikali kuimarisha hali ya usalama kwa walimu

  • | Citizen TV
    187 views

    Muungano wa walimu KNUT tawi la Mandera unataka serikali kuimarisha hali ya usalama kwa walimu wanaofanya kazi katika sehemu hizo ili kuboresha viwango vya elimu.