Muungano wa wavuvi Kilifi wabuni kanuni

  • | Citizen TV
    188 views

    Muungano wa wavuvi kaunti ya kilifi umebuni mwongozo zinazolenga kulinda raslimali na kuongeza uzalishaji wa samaki, utunzaji wa mazingira pamoja na kutatua mizozo ya Ardhi ufuoni. Sheria hizo zinahusisha sehemu 17 za kuvua samaki.