20 Jul 2026 10:18 am | Citizen TV 360 views Duration: 2:01 muungano wa kutetea haki za walezi wa watoto wenye ulemavu nchini (ncp-cdk)umeitaka serikali, kupitia Idara ya Watoto, kuhakikisha watoto wenye ulemavu wanasajiliwa katika mpango wa SHA ili waweze kupata huduma bora za afya.