Mvua kubwa iliyonyesha usiku imesomba nyumba za wakazi wa Tana River

  • | Citizen TV
    4,659 views

    Wakaazi wa kijiji cha ziwani kaunti ya Tana River wamelazimika kuhama kwao baada ya mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo kusomba makaazi yao. Ni mara ya pili watu hawa wanalazimika kuhama kwa sababu walikuwa wakiishi katika kambi ya muda kutokana na mafuriko ya mwaka jana.