Skip to main content
Skip to main content

Mvua kubwa yasababisha hasara, wasafiri wakwama Pokot Magharibi

  • | Citizen TV
    3,096 views
    Duration: 2:37
    Mvua kubwa inayonyesha maeneo mbalimbali nchini imesababisha hasara kubwa. Zaidi ya magari 800 na mamia ya wasafiri wamekwama huko Morpus, Pokot magharibi. Aidha waombolezaji waliokuwa wanaelekea kwenye maziko ya marehemu Johana Ngeno nao pia wakikwama baada ya barabara kufurika. Na kama anavyoarifu willy lusige, hapa jijini nairobi, maelfu ya wakaazi pia wameathirika na mafuriko