Mvua na Upepo Mkali umesababisha kifo Teso Kaskazini
Mama mmoja mwenye umri wa miaka sabini na miwili ameaga dunia baada ya kuangukiwa na kuta za nyumba yake kutokana na mvua kubwa iliyoandamana na upepo mkali iliyoshuhudiwa usiku wa kuamkia jumatano hii katika eneo la papai teso ,ang’urai kaskazini eneo bunge la teso kaskazini kaunti ya busia
vilevile zaidi ya familia 30 zimeathirika kwenye mkasa huo paa za nyumba zao zikibomolea, mifugo kuaga na mimea kuharibiwa. Watu 10 wamelazwa hospitalini kutokana na majeraha waliyopata baada ya kuangukiwa na kuta
5 May 2025
- Mbadi has made cuts to the NIS, State House and State Department of Transport, among others.
5 May 2025
- Tea factories are set to receive millions after a record dividend payout.
5 May 2025
- The project is set to radicalise a key sector in the country.
6 May 2025
- Kenya’s Rising Stars suffered a crushing 3-1 defeat to Tunisia in their CAF Under-20 Africa Cup of Nations Group B clash at Cairo’s 30 June Stadium, a result that leaves their qualification hopes hanging by a thread. Despite taking an early lead through…
6 May 2025
- My encounter with Pope Francis during the Covid-19 pandemic
6 May 2025
- Galla goats give lifeline to struggling pastoralists
6 May 2025
- Doctors' strike cripples health services in Kakamega
6 May 2025
- Beyond debts and deficits: Will budget 202526 chart a new path?
6 May 2025
- How knowledge gaps, misinformation limits access to SHA services
6 May 2025
- Officers in Baby Pendo case charged with rape, murder and torture
6 May 2025
- Global attention shifts to Vatican City as papal conclave begins
6 May 2025
- Burden of advisers: Ruto's bloated team of 20 advisers drain Sh1 billion from taxpayers
6 May 2025
- Is Cabinet, Security Council not up to the advisory task?