Mvua yaharibu madarasa Bumula

  • | Citizen TV
    257 views

    Mvua Yaharibu Madarasa Bumula Wanafunzi 450 Wa St Veronica Masuno Wanatatizika Wanafunzi Hao Wamelazimika Kusomea Chini Ya Mti Hii Ni Baada Yamvua Kubwa Kuangusha Paa Na Ukuta