Mvulana alipigwa risasi akiwa mjini Kitale, Trans nzoia

  • | Citizen TV
    1,081 views

    Kijana mmoja mwenye umri wa miaka 17 amelazwa katika hospitali ya Wamalwa Kijana mjini Kitale akiuguza majeraha ya risasi, kufuatia maandamano ya Gen Z yaliyogeuka kuwa vurugu katika mtaa wa Matisi, kaunti ya Trans Nzoia.