Mvutano kuhusu umiliki halisi wa mji wa Keroka; je, Keroka iko Kisii au Nyamira?

  • | Citizen TV
    1,241 views

    Eneo la Keroka katika mpaka wa kaunti za Kisii na Nyamira limeendelea kuwa kwenye utata kati ya kaunti hizo mbili, kwenye mzozo ambao umeendelea kutatiza shughuli katika eneo hilo. Kila upande umedai umiliki huku swali likiwa je, Keroka iko Kisii au Nyamira?