NPSC yalalamikia kunyimwa rekodi za polisi, wabunge wazua maswali

  • | Citizen TV
    558 views

    TOFAUTI KATI YA TUME YA KUWAAJIRI MAAFISA WA POLISI NPSC NA IDARA YA POLISI ZILISHUHUDIWA BUNGENI LEO, NPSC IKILALAMIKIA KUNYIMWA REKODI ZA MAAFISA WA POLISI WALIOAJIRIWA NCHINI WABUNGE WAKIIBUA MASWALI KUHUSU NINI KINACHOFICHWA KWENYE REKODI HIZO.

    KAMA ANAVYOARIFU EMMANUEL TOO, ILIMLAZIMU MWENYEKITI WA KAMATI YA UHASIBU KUMSHINIKIZA INSPEKTA JENERALI WA POLISI DOUGLAS KANJA KURUHUSU TUME HIYO KUPATA STAKABADHI HIZO MUHIMU.