- 12,581 viewsDuration: 28:10Vyama vya rais wa sasa wa Malawi Lazarus Chakwera na mtangulizi wake Peter Mutharika vimetangaza ushindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika Jumanne wiki hii, ingawa zoezi la kuhesabu kura bado halijakamilika. Endapo hakuna mgombea atakayepata angalau asilimia 50 ya kura zote, duru ya pili ya uchaguzi itafanyika. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw