- 643 viewsDuration: 7:40Sekta za elimu, afya, sayansi na mazingira zimesheheni shughuli chungu nzima mwaka huu wa 2025, ila baadhi ya masuala tuliyoangazia yamekuwa ya kuvunja moyo sana sasa ambapo taifa linasemekana kuelekea kwenye safu ya first world. Baa la njaa na vifo vya kina mama wakati wa kujifungua ni masuala ambayo yamezua masikitiko makubwa mwaka huu. Emily chebet anatufunulia pazia na kuweka wazi matukio hayo yalivyopima utu wa wanahabari walioyaangazia.