- 163 viewsDuration: 1:26Mwakilishi wa kike katika kaunti ya Nyamira Jerusha Momanyi, ameisuta vikali mamlaka ya ujenzi wa barabara za mashinani KERRA, kwa madai ya kuitenga kaunti hiyo kwenye kandarasi za barabara zilizotangazwa tarehe mapema mwezi huu.