6 Feb 2026 10:11 am | Citizen TV 32 views Wanafunzi wa shule ya msingi ya Hola, kaunti ya Tana River, wameandamana hadi afisi ya Mkurugenzi wa elimu kulalamikia mienendo na tabia ya mmoja wa walimu wa shule hiyo ambaye anasemekana kuzua rabsha shuleni humo.