Mwalimu mkuu wa Our Lady Of Victory Kaloleni akaribishwa baada ya uhamisho wa muda

  • | Citizen TV
    454 views

    Wazazi, walimu na wanafunzi wa shule ya msingi ya Our Lady of Victory Kaloleni huko Mavoloni kaunti ya Machakos walikuwa na bashasha wakimpokea mwalimu mkuu aliyekuwa amehamishwa kutoka shule hiyo Lucy Nderitu.