- 6,727 viewsDuration: 2:58Maafisa wa polisi kaunti ya Kisii wameanzisha uchunguzi kufuatia kifo cha mwanafunzi aliyefariki ghafla baada ya kupigwa na nguvu za umeme alipokuwa akianika nguo zake eneo la Maili mbili. Maafisa wa polisi sasa wakimsaka msimamizi wa nyumba aliyokuwa akiishi Mercy Chepkemoi anayedaiwa kuiba na kuunganisha umeme kinyume na sheria.