Mwanafunzi aliyejizolea alama 405 katika mtihani wa KCPE aamua kurudia darasa la 8 kwa kosa karo

  • | NTV Video
    1,147 views

    Mwanafunzi aliyeibuka kidedea katika shule ya msingi ya Mupeli huko Bungoma ameamua kurejea katika darasa la nane baada ya kukosa karo ya kujiunga na shule ya upili. Kijana huyo aliyezoa alama ya 405 kwa 500,alipata mwaliko kujiunga na shule ya kitaifa ya kabianga.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya