Ni habari njema kwa Sebastian Onyango, mwanafunzi mwerevu kutoka familia maskini ambaye hadithi yake iliangaziwa na runinga ya KBC Jumatatu. Onyango ambaye alipata alama 62 katika mtihani wake wa gredi ya tisa alitaka kurudia darasa la 9 kutokana na ukosefu wa karo. Wadau mbalimbali akiwemo Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja, wameahidi kufadhili kikamilifu elimu yake ya shule ya upili na hadi chuo kikuu.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive