- 2,676 viewsDuration: 4:47Mwanafunzi aliyepona ugonjwa wa saratani ameibuka kuwa mmoja wa waliofanya vyema zaidi katika mitihani ya kitaifa ya kidato cha nne mwaka 2025. Vincent Gakuhi aliyekuwa katika shule ya upili ya Alliance alipata alama A ya pointi 82 licha ya kuwa hospitalini mara kwa mara kwa kipindi cha miaka yote minne shuleni humo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive