Mwanafunzi arudia darasa la nane kwa kukosa karo

  • | Citizen TV
    1,205 views

    Huku wanafunzi wa kidato cha kwanza wakiendelea kumiminika katika shule za upili, ndoto hiyo inaonekana kudidimia kwa baadhi ya wanafunzi kwasababu ya kukosa karo na pesa za kununua mahitaji mengine