- 578 viewsMwanafunzi wa Chuo Kikuu Mwanafunzi wa chuo kikuu Portia Fafali Gedza anatambua vyema kuhusu athari ya habari za uongo kwenye WhatsApp kuhusu Makamu wa Rais wa Ghana Mahamadu Bawumia kwamba alikuwa anatoa pesa taslimu. Portia Fafali Gedza, mwanafunzi wa chuo kikuu anasema: “Mtu mmoja alinitumia kiungo cha taarifa kwamba Bawumia anagawa pesa. Nilibofya tu kwenye kiungo hicho, nikapitia mchakato wote, na ilifika mahali ambapo ilibidi nisambaze habari hiyo kwenye WhatsApp. Niliisambaza, na mwisho wa siku, sikutapa pesa. Kuna mtu alikuja kuniambia kwamba hizi habari ni za uongo, kwa hiyo nisingewaamini. Kwa sababu fikiria muda nilitumia kusambaza viungo hivyo, sikuweza kufanya chochote, na hivo, nilikuwa natumia bundle zangu, nilikuwa nasambaza kitu ambacho ni uzushi. Nilipata aibu.” Ripoti ya Isaac Kaledzi, VOA, Accra, Ghana. #ghana #voa #uchunguzi #uhakiki #habaripotofu #accra #waandishi #mwanafunzi #chuokikuu
Mwanafunzi asema alipata hasara na aibu baada ya kusambaza uzushi
- 7 Aug 2025 - Two families in Mlolongo, Machakos County, are in anguish months after their kin disappeared under mysterious circumstances.
- 7 Aug 2025 - Kericho Governor Erick Mutai once again faces an impeachment attempt, barely a year after surviving a similar bid in the Senate.
- 7 Aug 2025 - A man believed to be behind a string of brutal murders in Gem Yala sub-county in Siaya was apprehended and later lynched by members of the public.
- 7 Aug 2025 - The late MP was a trailblazer on many fronts.
- 7 Aug 2025 - The operation was a joint effort between police and KWS.
- 7 Aug 2025 - The arrests were made during an operation on Wednesday night.
- 7 Aug 2025 - CBK is expected to respond to the bankers' request next week on Tuesday.
- 7 Aug 2025 - They have been summoned over the irregular transfer of the government land.
- 7 Aug 2025 - The ministers of defence and environment died in a military helicopter on Wednesday.
- 7 Aug 2025 - By the end of 2025, 1,000 goats and sheep are expected to be distributed unger the Hope Project