- 1,406 viewsDuration: 2:47Mwanafunzi wa chuo kikuu aliyeshtakiwa kwa kuchapisha taarifa na kusambaza picha zilizoashiria mazishi ya Rais mtandaoni ameondolewa mashtaka. Mahakama ya Milimani imempa afueni David Mokaya kwenye uamuzi huu kwa kusema kuwa, mashahidi sita waliofika mahakamani kwenye kesi hiyo hawakumuhusisha moja kwa moja na taarifa hiyo