- 149 viewsDuration: 3:09Familia moja katika eneo la Emali kaunti ya Makueni inatafuta haki baada ya mwanafunzi wa gredi ya 3 kulawitiwa na mwenzake. Mamake mvulana huyo anashutumu shule hiyo kwa kujaribu kuficha uovu huo na kumnyima haki mvulana huyo. Mamake sasa anasema hii si mara ya kwanza kwa mwanae kudhulimiwa kimapenzi katika shule hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive