Mwanafunzi wa kidato cha pili alazimika kuwa mzazi wa nduguze baada ya Baba kutoweka Mama alipofarik

  • | West TV
    462 views
    Mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya upili ya wasichana ya Bwaliro wadi ya Elugulu eneo bunge la Butula kaunti ya Busia analazimika kuishi maisha ya kuwa Mwanafunzi na vile vile kuwa Mzazi kwa ndugu zake wadogo baada ya mama yao kufariki mwaka 2021 na baba yao kuhamia jijini Nairobi. Mediatrix adhiambo wa kijiji cha kanjala hulazimika kutoka shuleni na kuwatafutia ndugu zake chakula wakati mwingine akilazimika kuwabebea wadogo wake chakula kutoka shuleni kuwaletea .