Skip to main content
Skip to main content

Mwanafunzi wa udaktari aokolewa na wahisani baada ya kukosa karo ya kuendeleza masomo yake

  • | Citizen TV
    1,639 views
    Duration: 3:10
    Mwanafunzi mmoja wa udaktari alilazimika kuacha shule na kuishia barabarani kwa kukosa karo ya kuendelea na masomo yake. Ndoto ya Dancan Barongo kuwa daktari ilikatizwa na akalazimika kuishia barabarani katika mtaa wa Githurai. Hata hivyo, Barongo sasa ameokolewa na wahisani akiwa na matumaini ya kuendeleza masomo yake katika chuo kikuu cha Kenyatta