Mwanahabari Rita Tinina azikwa nyumbani kwao kaunti ya Narok

  • | Citizen TV
    4,254 views

    Mwanahabari Rita Tinina amezikwa leo nyumbani kwao katika eneo la Mau kaunti ya Narok. Familia, marafiki na wanahabari wenza walihudhuria mazishi wakimtaja Rita kama mwanahabari aliyependa kazi yake.