Skip to main content
Skip to main content

Mwanahamisi Hamadi atunukiwa hadhi ya shujaa katika sherehe za Mashujaa

  • | Citizen TV
    611 views
    Duration: 6:03
    Amekuwa mstari wa mbele kuangazia safari za wanawake wanaofanya shughuli mbalimbali zinazokuza na kuinua jamii hapa runinga ya Citizen. Kupitia kipindi chake cha Mwanamke Bomba, amekuwa akitembea safari hii na wanawake kutoka sehemu mbalimbali ambao amekuwa akiwavisha taji kila wiki. Tunamzungumzia mtangazaji mwenza Mwanahamisi Hamadi ambaye leo twamvisha yeye taji kwa kutajwa kuwa shujaa kwenye sherehe za hapo jana za Mashujaa.