MWANAHARAKATI AGATHER ATUHAIRE AACHILIWA NA MAMLAKA ZA TANZANIA

  • | K24 Video
    671 views

    Wakili na mtetezi wa haki za binadamu kutoka Uganda, Agather Atuhaire, ameachiliwa baada ya kuzuiliwa kwa siku kadhaa bila mawasiliano. Atuhaire, aliyekuwa kizuizini tangu Jumatatu, alitupwa katika mpaka wa Uganda na Tanzania siku moja tu baada ya mwanaharakati wa Kenya, Boniface Mwangi, pia kuachiliwa.