Mwanaharakati Mwabili Mwagodi apatikana

  • | KBC Video
    18 views

    Familia moja Kitengela, Kaunti ya Kajiado inahitaji usaidizi wa kifedha ili kusaidia jamaa wao kufanyiwa upandikizaji wa figo nchini India. Joyfredah Milimu amekuwa akisafishwa damu kwa muda wa miezi 10, jambo ambalo limeacha family hiyo bila fedha. Familia hiyo sasa inawaomba wahisani kuwasaidia kuchanga shilingi milioni 4 zinazohitajika kwa Joyfredah kufanyiwa upasuaji huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News