Mwanamazingira Isaac Kalua aikosoa serikali kwa kukosa kutilia maanani utabiri wa hali ya hewa

  • | Citizen TV
    165 views

    Mwanamazingira daktari Isaac Kalua ameikosoa serikali akisema haitilii maanani utabiri wa hali ya hewa kuhusu mvua kubwa ya elnino inayotarajiwa karibuni. Kalua amezitaka serikali za kaunti na serikali kuu kujifunza kutokana na mkasa wa mafuriko nchini Libya ambapo watu zaidi ya 11,000 wameangamia, na hivyo zinapaswa kuchukua hatua madhubuti kudhibiti athari za elnino.