Skip to main content
Skip to main content

Mwanamichezo wa Kenya akutwa vitani Ukraine

  • | BBC Swahili
    9,713 views
    Duration: 1:13
    Mwanamichezo wa Kenya, ambaye anajulikana kama Evans, alisafiri kwenda Urusi kama mtalii. Anadai kuwa alipokuwa huko,walimlaghai na kusaini mkataba wa kujiunga na jeshi la Kirusi. Katika video iliyotolewa na vikosi vya Ukraine, Evans anasema hakuweza kuelewa kile alichokuwa akisaini kutokana na vizuizi vya lugha na alidanganywa na rafiki akisisitiza kwamba hakuwa na nia ya kujiunga na jeshi. #bbcswahili #ukrane #urusi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw