Skip to main content
Skip to main content

Mwanamke achomwa na asidi Ngong road, mshukiwa mmoja akamatwa

  • | Citizen TV
    3,001 views
    Duration: 4:17
    Maafisa wa upelelezi kutoka kituo cha polisi cha kibra wanachunguza kisa ambapo msichana wa miaka 24 alimwagiwa kemikali iliyomteketeza kwenye kisa kinachoshukiwa kuwa mzozo na aliyekuwa mpenziwe. Mary claire alikuwa anatoka kazini katika barabara ya ngong akiwa na rafikiye ambaye pia alijeruhiwa kwenye tukio hilo. Na kama anavyoripoti ode francis, mshukiwa mmoja anazuiliwa baada ya kuvamiwa na wananchi kufuatia tukio hilo.